The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,653
mhhhh mwenzetu mwembamba sana nini mpaka una kibiongo!
kwani wenye vibiongo ndo wanakuaje?
mhhhh mwenzetu mwembamba sana nini mpaka una kibiongo!
sijui kama nimekuelewa lol
<br />Tabasamu zingine zinachekesha ati! Hujawahi kuona mtu anatabasamu halafu sura inakuwa kama anataka kupiga chafya?!