Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,065
- 111,660
Namim nakuzoom kwa jicho la tatu na leo hulali 😝Na mim nawazoom tu
Karibu mgeni umeolewa tafadhaliWanasema mgeni njoo wenyeji wafaidi.
Sina fedha wala dhahabu za kuwafaidisha nazo ila nitawanufaisha kwa kutoa michango mizuri kwa kadiri ya upeo wangu.
Nimekua naogopa kuingia kuchangia ila ndo nishajitosa naombeni mnipokee dada zangu,mama zangu,kaka.zangu na baba zangu.
Nina kaka zangu humu,waweza kuwa wifi siku moja usijalHata wewe mwanamke mwenzangu jamani?
dada kama dada 😊Nina kaka zangu humu,waweza kuwa wifi siku moja usijal
Yaani wewe hubanduki hapa tangu mgeni kafika🤣🤣🤣una secret agenda gani wewe mtu?dada kama dada 😊
Kaka zako wala hata hatukupingi
Sasa dada tumekuzwa kimaadili leo hii nimuache mgeni mwenyewe kweli, hayo ndio maadili? 😅Yaani wewe hubanduki hapa tangu mgeni kafika🤣🤣🤣una secret agenda gani wewe mtu?
🤣🤣🤣🤣Una mkirimu mgeni kwa ukarimu au sio?Sasa dada tumekuzwa kimaadili leo hii nimuache mgeni mwenyewe kweli, hayo ndio maadili? 😅
Ndio kama tulivyofundishwa😂🤣🤣🤣🤣Una mkirimu mgeni kwa ukarimu au sio?
Sawa nakuhakikishia atabaki salama nikitoka nitamuacha na dronedrake nadhan atazidi kuwa salamaAah Mimi nimechoka naenda kulala jukumu la kuhakikisha mgeni yupo salama na mikono ya mzabzab nakuachia wewe maana huu mji si salama
Yakuambiwa changanya na yakoo...!Hapana kaka Nimeambiwa huko DM sio kuzuri.
Nipe tu hapa kama hutajali🙏
Usimpotoshe mgeniMgeni njoo huku mtaa wa saba unywe lubisi kidogo uchangamke, uanze kutikisa mabega
Mwandiko wako unaashiria umeokokaa 😂😂Sawa sis🙏
ha ha ha ha, yupo kwenye mikono salamaUsimpotoshe mgeni
Mmh wewe na mzabzab Sina Imani na nyie,,,mdogo wangu Half american jitahidi hapa pakuche salama,wanataka kumtorosha mgeni wakamnyweshe lubisiha ha ha ha, yupo kwenye mikono salama
Dada usiwe na hofu nitamlinda atabaki salamaMmh wewe na mzabzab Sina Imani na nyie,,,mdogo wangu Half american jitahidi hapa pakuche salama
SawaDada usiwe na hofu nitamlinda atabaki salama
Angalau apige hata jagi mbili tu za lubisi, ili kuondoa wenge la ugeniMmh wewe na mzabzab Sina Imani na nyie,,,mdogo wangu Half american jitahidi hapa pakuche salama,wanataka kumtorosha mgeni wakamnyweshe lubisi
🤣🤣🤣🤣Msimuharibu tafadhariAngalau apige hata jagi mbili tu za lubisi, ili kuondoa wenge la ugeni