Old Granny
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 392
- 557
itoke wapi mjukuu wangu..ID yako ya zamani ni ipi?
Asante pyar..kupwelepeta uko Vip na akat mambo mnato tu uku...Ng'ombe hazeeki maini ila anapwelepweta kinena.
Karibu JF.
Halafu mapovu mengi tu hadi kufulia nguo..[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mgeni umejuaje kama humu kuna mapovu?
Cku izi povu popote tu, sembuse jfMgeni umejuaje kama humu kuna mapovu?
[emoji23] [emoji23] DaataMgeni mjuaji kweli
Bibi una majibu ya ki.comCku izi povu popote tu, sembuse jf
Haha hii ni kanzu mpya tu sheikh wa zamaniMgeni mjuaji kweli
[emoji2] [emoji2] [emoji2] , gusa inase.Hahahahahh looh kibibi mwenzangu karibu jukwaani. Mie humu nafaamika kama Kasie Matata aka Kasinde pia kama kigagula.
Haya ngoja na wengine kila mmoja atajitambulisha mwenyewe kwa wataopenda. Basi utajisevia jukwaa utalolipenda uwe unashinda unalala na kula hukohuko. Mababu pia wako humu ila bado wako imara usipokuwa macho inanasa kweupee hivi unajiona.
Home of great thinkers huku hakuna hayo mamboCku izi povu popote tu, sembuse jf
Kawaida mjukuu..Bibi una majibu ya ki.com
Yan nimefurahii ..nilijua nipo peke yngu..asante kassie matata...nafikiri utakuwa matata kweli kama jna lako[emoji23]Hahahahahh looh kibibi mwenzangu karibu jukwaani. Mie humu nafaamika kama Kasie Matata aka Kasinde pia kama kigagula.
Haya ngoja na wengine kila mmoja atajitambulisha mwenyewe kwa wataopenda. Basi utajisevia jukwaa utalolipenda uwe unashinda unalala na kula hukohuko. Mababu pia wako humu ila bado wako imara usipokuwa macho inanasa kweupee hivi unajiona.
ngoja muda utaongeaID yako ya zamani ni ipi?
Nani kakwambia wewe..Haha hii ni kanzu mpya tu sheikh wa zamani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] , gusa inase.