Mwasi Kitoko
New Member
- May 5, 2011
- 2
- 0
Habarini wana jf, mimi ni mwanachama mpya wa jamvi hili hivyo sina budi kubiga hodi, hodiii wa jf, nilikuwa natembelea blogu mbalimbali lakini mwisho wa siku nikajikuta nimetua hapa, natumai hodi yangu itajibiwa.
Vilevile nina shida naomba nisaidiwe nimekuwa nikiisikia simu aina ya iphone na nimeona thread ya KAMIKAZE akiulizia kuhusu password, naomba niulize kwa waliotumia hizi simu je zina sifa gani za ziada mpaka kusifiwa hivyo? na je zina tofauti gani na nokia za E au N edition, naomba nijue manjonjo ya hiyo simu ili kama vp nami niinunue, aksanteni great thinkers