Hodihodi JF

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,940
3,041
Salaamu nyingi ziwafikie naomba kupokelewa.Nimekuwa mgeni wa jamii hii kwa muda kidogo lakini nimefikia uamuzi wa kujiunga na kushiriki mijadala mingi inayoanzishwa hapa na washiriki katika forum hii.
Wana ndugu narudia kuomba kupokelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom