Hodi Wenyewe

LimaAlfa

Member
Dec 22, 2015
37
19
Salaam wenyeji humu. Nina furaha kujiunga nanyi JF. Ni ukweli kuwa jukwaa hili ni zaidi ya habari, kwani nimefaidika sana na michango na debate zenu nikiwa nje. Mnipokee labda nami nichangie niyajuayo. Ahsanteni
 
Hivi ninapotaka hamisha topic kwenda sebule ingine nafanyaje wandugu?
 
Back
Top Bottom