mimi ni kijana ambaye nimemaliza chuo mwaka juzi, kipindi nikiwa chuoni nilibahatika kuwa na mchumba aliyekuwa ametokea Canada, tulipendana sana, ila mwenzangu alinionjesha mambo ya kigeni(tigo) na kibaya zaidi tulizoea hako kamchezo mpaka ikafika hatua tunatinga na mtoni tu na baharini hatutii nanga tena. sasa mm nilivyomaliza chuo yy aliendelea mwaka mmoja ikawa nkihitaji kumtumia namuona haina shida, ila sasa ameondoka, nikifanya mapenzi na mtu mwingine kwa njia ya kawaida siridhiki kabisa, nahangaika sana jamani wana jf nifanyeje?? na mademu wetu wa bongo ni ngumu kumpata wa kutoa tigo kama yupo nielekezeni jamani nateseka au nipeni ushauri nifanyeje. asanteni nangojea ushauri wenu.