babby
Member
- Apr 23, 2013
- 11
- 3
- Thread starter
- #21
hahahahaaa umevurugwa ww:A S 20::A S 20:Hodi ya wapi? Muone! We si mwenyeji tu hapa? au umekuja kufumania nini?
Unabadirisha utambulisho kumtega nani baby?
Sitegeki, nakufahamu, nakujua nawe pia wanifaham na wanijua. We tulia tu tuendeleze mambo yetu;
Wako akupendaye kwa dhati
Tutor B