Hodi waungwana!

Hodi waungwana!

QUOTE=Ahmad Mussa;2683091]Ahsante sana kaka![/QUOTE]
Unakaribishwa sana sana mkuu
Jukwaa linakuhitaji sana sana
Lol
 
Mgeni ushapata juice ya ukwaju sasa soma rules za JF kwa makini
 
Ngoja nimletee achangamshe kinywa! Karibu sana mgeni, jisikie upo nyumbani sebuleni!

Mgeni mwenyewe anachagua kinywaji bana
Inaonekana hana njaa huyu
Na mwambie aishie hapo hapo sebuleni asije chumbani kabisa
 
Mgeni mwenyewe anachagua kinywaji bana
Inaonekana hana njaa huyu
Na mwambie aishie hapo hapo sebuleni asije chumbani kabisa

Haina shida kabisa, ye aseme kinywaji chochote tu atapata ilimradi pozi zisizidi!
 
Haina shida kabisa, ye aseme kinywaji chochote tu atapata ilimradi pozi zisizidi!
Mgeni ana mapozi huyo mpaka anaharibu sasa. Itakuwa hata chakula umuulize anakula nini usije ukampa wali mandondo akaanza kuleta pozi zake anataka chips kuku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom