Hodi wanaJF, naitwa Non-Celebrity

Hodi wanaJF, naitwa Non-Celebrity

Non-Celebrity

Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Kwa heshima na taadhima, nabisha hodi kwenu wanaJF, namshukuru mwanaJF mwenzenu MpigaKelele aliyenihabarisha habari za JF na MMU wanavyowezesha kupata unachokihitaji. ni matumaini yangu kuwa tutashirikiana kwa kila hali. Ahsanteni
 
karibu sana mkuu ila kuna dada zetu humu hamkawii nyie ma Non-Celebrity kuutafuta huo u-Celebrity mara oooh!!!natafuta mke sijui nini nini!!! teheteheteheteheee!!!
 
Karibu sana jamvini non-celebrity, humu kuna macelebrities wengi ikiwa pamoja na hao waliokukaribisha hapo juu, zaidi utawakuta MMU!!
 
Back
Top Bottom