Hodi wana JF

Nawapenda wote.

Na sisi tunakupenda karibu sana jamvini kwetu na ujisikie uko nyumbani. Utakunywa nini? tuna juice, coke, fanta, Mirinda, beer, konyagi, togwa na Whisky... Ha ha ha ha... Welcome aboard :)
 
Tuendelee kupendana hata pale tutakapoamua kukukabidhi jembe ukalime na pia tutakapotofautiana kwa hoja, karibu sana.
 
Kiswahili kigumu na ndio kwanza najifunza. Naomba kujua maana ya neno hilo lililo na rangi nyekundu ni lipi? lipo katika kamusi? Yassin kwa kutumia mabombastic naye!

Ulimi hauna mfupa. Karibu shosti mwaya and feel at home at dare to talk openly jamvi la wasema kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom