HODI wana JF!

HODI wana JF!

Joined
Sep 15, 2011
Posts
16
Reaction score
6
Ni Mtanzania, naitwa Panjilwa Chiwaligo (Chiwal).

Kumbe nilikuwa nimechelewa! Sikujua, pengine ushamba au ..... Nimetonywa na jamaa kuhusu JF na kweli hapa ni mtungi wa elimu, burudani na kila kitu.

Naombeni mnipokee, ningependa kusoma na kuchangia nyanja zote.

PC
 
Karibu sana na tunaomba sana michango yako usiishie mitini
 
Back
Top Bottom