Hodi wana jf, sasa nimeamua.

Hodi wana jf, sasa nimeamua.

ugawafisi

Senior Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
127
Reaction score
13
nimekua nikifuatilia hoja mbali mbali ndani ya jf as a guest lakini sasa nimeamua nami niwe active member wa kweli kweli kwa kuleta hoja nzito na michango iliyosimama. Tafadhali nipokeeni ndugu zangu. Sijatumwa nimekuja mwenyewe!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Karibu Mkuu...,
Hata waliotumwa tunawakaribisha ili tuwaonyeshe matatizo ya kutumwa
 
Karibu sana jamvini, jisikie uko nyumbani kabisa.
 
Karibu sana mwana jei efutunahitaji michango yako.
 
Karibu sana,..................fuata kanuni,..................
 
nimekua nikifuatilia hoja mbali mbali ndani ya jf as a guest lakini sasa nimeamua nami niwe active member wa kweli kweli kwa kuleta hoja nzito na michango iliyosimama. Tafadhali nipokeeni ndugu zangu. Sijatumwa nimekuja mwenyewe!
jisikie uko nyumbani..
 
karibu jf, follow the rules, ukikengeuka unakula ban, na kabla ya ban unakula majungu ya ukweli. Uwe mpole.
 
Back
Top Bottom