Hodi Wana-Chit Chat

Hodi Wana-Chit Chat

Nzuri.....uliwekwa wapi kinyumba?.... Afu umeona pacha wangu TANMO katuletea dhawadi......wewe mbona mikono mitupu?


We acha tu, kuna li Madame B limoja limeniweka ndani kinyumba basi hata kufurukuta sifurukuti,ila hilo la zawadi naona PM zitahusika zaidi..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom