Peril22 JF-Expert Member Apr 15, 2020 1,422 2,313 Apr 15, 2020 #1 Mgeni hapa jamii forums. Naomba ushirikiano wenu wakuu katika kufunzana na kujadili mambo mbalimbali. Ahsanteni sana
Mgeni hapa jamii forums. Naomba ushirikiano wenu wakuu katika kufunzana na kujadili mambo mbalimbali. Ahsanteni sana
Gemini Are Forever JF-Expert Member Sep 10, 2019 1,457 2,435 Apr 15, 2020 #2 Karibu, mimi ndo receptionist wa zamu leo. Kwani we jinsia gani? Mbona sura yako ina ukakasi?
Peril22 JF-Expert Member Apr 15, 2020 1,422 2,313 Apr 15, 2020 Thread starter #4 ENGIMA30 said: Karibu, mimi ndo receptionist wa zamu leo. Kwani we jinsia gani? Mbona sura yako ina ukakasi? Click to expand... Me mkuu.
ENGIMA30 said: Karibu, mimi ndo receptionist wa zamu leo. Kwani we jinsia gani? Mbona sura yako ina ukakasi? Click to expand... Me mkuu.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,633 697,782 Apr 15, 2020 #5 Karibu bila shaka mahali sahihi kwa chakula cha ubongo Peril22 said: Mgeni hapa jamii forums. Naomba ushirikiano wenu wakuu katika kufunzana na kujadili mambo mbalimbali. Ahsanteni sana Click to expand... Jr
Karibu bila shaka mahali sahihi kwa chakula cha ubongo Peril22 said: Mgeni hapa jamii forums. Naomba ushirikiano wenu wakuu katika kufunzana na kujadili mambo mbalimbali. Ahsanteni sana Click to expand... Jr
Peril22 JF-Expert Member Apr 15, 2020 1,422 2,313 Apr 15, 2020 Thread starter #6 Mshana Jr said: Karibu bila shaka mahali sahihi kwa chakula cha ubongo Jr Click to expand... Nashukuru sana mkuu.
Mshana Jr said: Karibu bila shaka mahali sahihi kwa chakula cha ubongo Jr Click to expand... Nashukuru sana mkuu.
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,029 10,673 Apr 16, 2020 #8 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
Jesuitdon JF-Expert Member Dec 18, 2018 3,154 2,657 Sep 12, 2021 #9 Peril22 said: Mgeni hapa jamii forums. Naomba ushirikiano wenu wakuu katika kufunzana na kujadili mambo mbalimbali. Ahsanteni sana Click to expand... Y Unafanya kazi gani
Peril22 said: Mgeni hapa jamii forums. Naomba ushirikiano wenu wakuu katika kufunzana na kujadili mambo mbalimbali. Ahsanteni sana Click to expand... Y Unafanya kazi gani