Hodi mpaka sebuleni......!

Msela Ngoto

Member
Jun 10, 2018
29
28
Habari zenu wadau..!

Kwa heshima na taadhima naomba mnipokee hapa jamvin kama mdau mpya...!
JF ni sehemu nzuri ya kubadilishana mawazo, ujuzi uzoefu katika changamoto zinatotukabili kama jamii..!
Natanguliza shukrani za dhati....

Niambie kichaa wangu. Hapa kilingeni utakutana na masela kibao. Mimi nipo hapa gheto na majambazi yangu tunakula nyasi. Kama vipi timba mwanangu mwenyewe.
 
haaaah we msela mwenzangu umetisha sana aysee jombaaa....
kitu cha dodoma au chuga.???
 
Back
Top Bottom