Hodi jwana amii forums

mujunimunu

Member
Jan 27, 2011
10
1
Nimekuwa nikisikia katika mijadala mbalimbali watu wakisema wanaJamii forum wamesema hivi ama vile, nikaona si vibaya nami nikijiunga na hawa great thinkers. NAOMBA KUKARIBISHWA.
 
Karibu sana, mawazo yako na michango yako ndio itakayofanya na wengine wasikie pia!!
 
jamani mnaupendeleo,mbona mimi hamjankalibsha wakati ni mwanachama wa muda japo ckuwatarifu?nimekuwa nawajibu sana tu ktk jumbe zenu ina mana hamuoni kuwa huyu ni member mpya?
 
Fungua uzi wako wa utambulisho. Karibu JF.
 
Nimekuwa nikisikia katika mijadala mbalimbali watu wakisema wanaJamii forum wamesema hivi ama vile, nikaona si vibaya nami nikijiunga na hawa great thinkers. NAOMBA KUKARIBISHWA.

Karibu sana jamvini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom