hodi jamani humu ndani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hodi jamani humu ndani!

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by mchakachuaji192, Oct 20, 2010.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ndugu jamaa na marafiki napenda kubisha hodi humu ndani kwa moyo mmoja naomba kukaribishwa na mlioko humu ndani kwa ushirikiano wenu na kuwa pamojakatika uchangiaji wa hoja mbalimbali, nawatakia majukum mema na tuendelee kuwa pa1 ktk ujenzi wa nchi yetu, love you all, pia ningependa kujua yaruhusiwayo na yasiyoruhusiwa ndani humu just for future reference
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Karibu sana
   
 3. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Karibu mchakachuaji, soma hapa

  1. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/10851-how-to-use-jamiiforums-effectively.html


  2. https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/75107-you-must-read-this-tafadhali-soma-hapa.html

  3. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18042-jamiiforums-rules.html

  4. https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/75185-jamiiforums-msimamo-wetu-na-maelezo-kidogo.html


  USITUMIE LUGHA CHAFU TAFADHARI
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Karibu sana mkuu, id yako nimeipenda!
   
 5. J

  Jafar JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  isije ikawa hata hii hodi umeichakachua - anyways karibu:A S-frusty:
   
 6. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
 7. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  dah kazi ipo sasa hapa nashukuru mkubwa
   
 8. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Thanks
   
 9. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Baada ya hodi nini cha kwanza utafanya hapa JF? Pale kwenye poll au? Kama wewe ni Mchakachuaji 192 hao 191 wako wapi? Je, kuna wengine zaidi ya 192?
   
 10. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  mkuu wa kaya baada ya kupewa karibu niligonga pale kwenye poll na kubofya kwenye kitufe cha Dr wa ukweli pale
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,577
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  nadhani utafanya kazi nzuri katika uchakajuaji karibu sana
   
 12. D

  Dick JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karibu sana, chakachua mawazo na si vinginevyo!
   
 13. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Karibu sana! fil ati homu
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  karibu sana
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!unaingia kwanza ndiyo unapiga hodi?wewe ni kabila gani?
   
 16. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  mwenye nyumba hukuwepo ndo maana niliishia kibarazani kukusubiria
   
 17. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Karibu sana:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  [mwenye nyumba hukuwepo ndo maana niliishia kibarazani kukusubiria]

  karibu sana!nilitaka nikukaribishe kwa utani kidogo!
   
 19. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu tujadili formula ya kuchakachua
   
 20. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu mwaya tuchakachue. Mi niliingia humu kichwa kichwa basi hata huu mjengo siujui vizuri, nikiwa na maswali sijui niulizie wapi na kwa jinsi nilivyo zuzu nimetafuta ukurasa wa "maswali na majibu" sijauona basi nimekaa hapa nimekata tamaa huku nikiangalia mpunga wa babu waliwa na videge. Jamanai namtafuta Invisible au yeyote anayeweza kunipa visa ya kuingia kila pahala hapa maana kuna maeneo mengine nikitaka kuingia naambiwa sina visa. Hivi humu kuna chat room? Iko wapi? Dah kweli mjini shule!!!!
   
Loading...