Hodi humu

Hodi humu

Jf ingekuwa inalipa kuna watu wangewehuka, hivi tu ni bure tunapoteza mda humu ila kuna njemba hazilali kwa kutafuta kuonekana, mkuu wewe ni zakayo tu, hadi yesu apite ndio atakuona🤣
 
Kwa mwandiko wake huyu sio gunner, huyu anaonekana hata kingereza hajui.

Gunner yeye ana tatizo kubwa moja la kuchanganya Kiswahili na kingereza a.k.a kiswanglish
 
Back
Top Bottom