ahahahaaaaa Umejuaje???Karibu sanaaa mwenyeji.
Duh... mapacha tena ?Serin ni pacha wake na Seran na kaka yao ni Ser mzee wa mikeka
Mbona mnamuonea gunner wa watu!gunner unafosi sana, juzi tu uliomba msamaha kwa seran kuacha ushamba wako lakini bado unaendeleza ushamba
Pole sana gunnerNi yeeeeyeee!
Asante saaaaaanaAkaribie mjukuu wetu atafurahi
Mkuu mbona hauna huruma unamuonea tu gunner wa wenyewe...Moods hawaamini ni Gunner na ID nyingine
Nimehisi ni yeye😹tutaangalia tu maandishi
Wewe ni mpiga ramli auNimehisi ni yeye tutaangalia tu maandishi
Acha basi kutusanifu. Wewe ni mwenyeji humu.Wakuu kwema...?
Nimeipenda sana JF
Mods aibu wanaona wao.Moods hawaamini 😹😹💔ni Gunner na ID nyingine
😃😃😃😃😃Huyu sio GUNNER kweli😹😹na I'd mpya