Hodi humu

Hodi humu

Wakuu kwema...?
Nimeipenda sana JF
Karibu sana ,sema umekuja wakati mbaya ,yule bwana wa kuitwa chiwawa anatatizo la usonji hawezi kukaa dk bila kupost JF na sasa kapigwa ban kwa hiyo tunapata wasiwasi 😂 maana jana tu katoka kumfungulia uzi Seran na leo ww umefungua ya Serin 😂😂.

Lamomy sio chiwawa kweli huyu 😂🙌
 
Karibu sana ,sema umekuja wakati mbaya ,yule bwana wa kuitwa chiwawa anatatizo la usonji hawezi kukaa dk bila kupost JF na sasa kapigwa ban kwa hiyo tunapata wasiwasi 😂 maana jana tu katoka kumfungulia uzi Seran na leo ww umefungua ya Serin
Ka Chiwawa ni kagonjwa kale 😂😂😂

20261004_173447.png
 
Karibu sana ,sema umekuja wakati mbaya ,yule bwana wa kuitwa chiwawa anatatizo la usonji hawezi kukaa dk bila kupost JF na sasa kapigwa ban kwa hiyo tunapata wasiwasi 😂 maana jana tu katoka kumfungulia uzi Seran na leo ww umefungua ya Serin 😂😂.

Lamomy sio chiwawa kweli huyu 😂🙌
Kanifungulia uzi gani tena jmn🤔
 
Back
Top Bottom