Aaah samahani sana Bishanga ina maana unadhani Lizy ni mmoja tu?huu sasa umbea,ya Lizzy yametoka wapi?
Teh ngoja baada ya muda utapata uhakika na utashangaa kwanini hukupata uhakika mapema....dah huyu small house sijui ndo nani tena ... Lizzy sina hakika
nyie mchokozeni tu Lizzy,akiwainukia mi simo mtajiju.Hivi hamjui toka jana anapiga chabo hapa? mi namgwaya ka nini!Aaah samahani sana Bishanga ina maana unadhani Lizy ni mmoja tu?
Sikumaanisha Eliza wa Tegeta......nilimaanisha Lizy Unga LTD
Hahahaaaaa unawapenda majina ya Eliza eeeeeh lol
Uko juu sana
Naona ni Eliza mwanzo mwisho....
Yupo mwingine kuleeeeeee Kibosho ukimalizana na hao
Hahahahaaaa hebu dokeza Kongosho alifanywa nini na PAW...hivi ulivyokuwa kwenye ban Paw alikufanya nini ?
Teh kwani atatuibukia sisi au wewe unayezungukazunguka Unga LTD?nyie mchokozeni tu Lizzy,akiwainukia mi simo mtajiju.Hivi hamjui toka jana anapiga chabo hapa? mi namgwaya ka nini!
Huyu mtu haeleweki ila mie alikua mke mwenzangu wakati tunashea mume(Rejao) ndio mpaka sasa na muita x-mke mwenza maana alipokua na Rejao alikua mwanamke na sehemu zingine wengine wanasema ni mwanaume so kila mtu ana namna yake kwa Konie kulingana na mahusiano,embu nijuze binti mtambuzi,konnie ni SHE?
Nipo swaiba,vp mzima ww?mpe hi smile![/QUOT MIe sijambo... hofu na mashaka kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu...... SDmile hajambo saaaaaaaaaaaaaaaaana tu!
embu nijuze binti mtambuzi,konnie ni SHE?
Mkuu makazi nimehamishia leo kwa sababu maalum za kitaifa.poleni kwa moto.ngoja nijipange kisha nikutafuteni,si unajua kuwa na blanketi chapa binadamu ndo muhimu kwanza?
Hahahahaaaa hebu dokeza Kongosho alifanywa nini na PAW...
Halafu siku hizi Konny kule kwenye jukwaa fulani hakanyagi kabisaaaaaaaa
Odm....odm......odm........kidumu chama cha odiemmmmmmmmm!!!!!Huyu mtu haeleweki ila mie alikua mke mwenzangu wakati tunashea mume(Rejao) ndio mpaka sasa na muita x-mke mwenza maana alipokua na Rejao alikua mwanamke na sehemu zingine wengine wanasema ni mwanaume so kila mtu ana namna yake kwa Konie kulingana na mahusiano,
Kwa habari kamili mulize Babu ODM.
hhahahaha sas aulikuwa na nani kati ya wengi hapa mjini? afu uwe unaongea na wazee kwanza usije ukanywa maji kwenye visima vyao ikawa tabu
Hahahahahaaaa ukizingatia na hii baridi ya A Town LolToka jana nimefungiwa ndani mkuu,hivyo mazingira sijayajua.