Haaaa kwani hifadhi ni kukuchukua?Shem ww unavomjua mme wangu ni wa kuniacha mpaka nitafutiwe hifadhi jaman!Atown ana mahekalu ni ishu ya kuchagua mtaa tu!alafu shem kauli hizo ucje chezea makofi ya rejao alafu Amy akakutupia cha mbavu lol!
Teh hawakujui hawababaeleze diii!
Hahahahahaaaa wanaipenda sana ile kitu lolMh!! wengi tuuuu huyo si wa kwanza!!! kwa mhaya orijino!!!
nichekie kabisa na bei za maholi ya harusi kamanda!
nipo kwenye mchakato,stay tuned.
(actually jiandae u matron).
subiri wewe ukisikia nimeshinda ubunge wa arusha mjini ndo utashika adabu yako.
Hahahaha!uwiiii mie mbavu zangu lol!plastiki baharesa ananunua na kutengenezea chupa za maji,hahahaha!
Jamani tupeni macho hapo juu kulia mwa avatar yangu,mwenzenu nimebadili makazi(location).
Wenyeji jamani mpooooooooooooooooooooo??????????????????????
Unanchekesha-sosi FF
unataka kuwa bungua Arusha?
Karibu Bishanga, mi nipo maeneo ya Majengo, kulipozuka moshi majuzi...mbona sikukuona ukija kutoa mkono wa pole?
Karibu
Ujue we konnie wewe jela ilikuharibu,hivi huku unga wa ltd unatafuta nini? We si mtu wa masaki? Achana na bishanga bana,bishanga mutu munene,mutu ya nguvu,atakacho anapata,hivi unajua hapa arusha hotel napata na nani dina?
We maprooo,cha arusha ndo msamiati gani huo?