yaani mi ndo nije kukushikia miguu au kukusaidia kuvua kufuli?
Dah kweli Konny mshakunaku....
wivu wakati nimejenga himaya unga wa ltd?
utasema kila kitu!
Kwisha habari yako weye....
Pata cha Arusha, nendo kwa moromboo shushia ile kitu lol
Atakiweza cha Arusha huyo, si atabeba basi la Aboud kulileta Dar.
Ahaa lol mi sipo bwana ...
Utani wa ngumi huo Kong's
Hivi bishanga ataweza ngumi kweli wakati kazeeka hadi mifupa yake imakubwa kama imebunguliwa na wadudu wa mahindi?
Akirusha ngumi anakuachia mkono mzima.
Afu usimuone, ngozi inavutika kama jojo.
Hujambo lakini?
we konnie na huyo chaliii wako gwalu nawaangalia tu......dawa yenu iko jikoni....Hivi bishanga ataweza ngumi kweli wakati kazeeka hadi mifupa yake imakubwa kama imebunguliwa na wadudu wa mahindi?
Akirusha ngumi anakuachia mkono mzima.
Afu usimuone, ngozi inavutika kama jojo.
Hujambo lakini?
we konnie na huyo chaliii wako gwalu nawaangalia tu......dawa yenu iko jikoni....
we konnie na huyo chaliii wako gwalu nawaangalia tu......dawa yenu iko jikoni....
Hahahahaaaaaa kama uko fresh na wana Chit Chat watakuwezesha ntakupeleka Mount Meru....nichekie kabisa na bei za maholi ya harusi kamanda!
WeweweweeeeeeeeeeeWee Rick, mbona kibuzi chako ki Amyner kimetoka na Sugar dady Bishanga mie sikusema kitu?
Ushakunaku nimeanza lini?
watu ws A town wala msikonde,bishanga sina gharama,shida yangu nifanyieni mpango ninunue shamba la burka nataka nijenge hapo a mansion with a private golf course,spool,tennis court na helipad,nikitaka kutembea unga wa ltd nafikia hapo tajiri la kihaya kudadadadeki.Ah we kwisha habari yako...
Hapo namshtua Saint Ivuga akumwagie kitu cha Arusha, afu utatukuta ViaVia na Kong..
Sijhui hata kama utaweza kurusha japo konde hahahahaha
watu ws A town wala msikonde,bishanga sina gharama,shida yangu nifanyieni mpango ninunue shamba la burka nataka nijenge hapo a mansion with a private golf course,spool,tennis court na helipad,nikitaka kutembea unga wa ltd nafikia hapo tajiri la kihaya kudadadadeki.