Bedullah
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 206
- 79
Asalaam Aleikum wanajamvi wote!
Sasa nimeamua rasmi kuwa mwanajamvi baada ya kuwa mfuatiliaji wa JF na kuridhika kuwa huu ni uwanja wa Demokrasia ulio wazi kwa kila mcchezaji. Nawashukuru waasisi na vile vile walioifanya JF kuwa kama ilivyo.
Kwa hakika JF ni chombo muhimu na cha kujivunia hapa bongo na Afrika Mashariki. Na naamini hakuna social forum kubwa na makini kama hii JF hapa Afrika Mashariki nzima.
Wakatabahu,
Mwana jamvi mwenzenu mgeni.