Hodi Hodi wanajamvi

Bedullah

JF-Expert Member
Dec 9, 2012
206
79
Asalaam Aleikum wanajamvi wote!
Sasa nimeamua rasmi kuwa mwanajamvi baada ya kuwa mfuatiliaji wa JF na kuridhika kuwa huu ni uwanja wa Demokrasia ulio wazi kwa kila mcchezaji. Nawashukuru waasisi na vile vile walioifanya JF kuwa kama ilivyo.
Kwa hakika JF ni chombo muhimu na cha kujivunia hapa bongo na Afrika Mashariki. Na naamini hakuna social forum kubwa na makini kama hii JF hapa Afrika Mashariki nzima.
Wakatabahu,
Mwana jamvi mwenzenu mgeni.

karibu.humu kuna ritz.tuntemeke,na wengine kibao.
 
Alaykum aleina. Wakaribishwa mwanangu sema uangalie hizo salamu zako za upande mmoja. Una bahati ungesema bwana asifiwe ungekoma.
Asalaam Aleikum wanajamvi wote!
Sasa nimeamua rasmi kuwa mwanajamvi baada ya kuwa mfuatiliaji wa JF na kuridhika kuwa huu ni uwanja wa Demokrasia ulio wazi kwa kila mcchezaji. Nawashukuru waasisi na vile vile walioifanya JF kuwa kama ilivyo.
Kwa hakika JF ni chombo muhimu na cha kujivunia hapa bongo na Afrika Mashariki. Na naamini hakuna social forum kubwa na makini kama hii JF hapa Afrika Mashariki nzima.
Wakatabahu,
Mwana jamvi mwenzenu mgeni.

Ustadh Bedullah Pata Taarifa toka
JamiiForums kwa njia ya
SMS. Tuma neno 'Jiunge
JF ' kwenda 15346
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom