Hodi hodi wana JF mie ndonaingia hivo.

Hodi hodi wana JF mie ndonaingia hivo.

HBO

Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
13
Reaction score
5
habar ya miangaiko ya kimaisha ya kila siku nasikia JF,JF so leo nimeonabora niingie kwan nimeelezwa nawezatoa dukuduku zangu mbalimbali ambazo zinazunguka jamii kiujumla.

jamani nikaribishen na ninaimani nitapata ushirikiano wenu.😛eep:😛eep:
 
HBO,
Naona umekuja na spidi ya kuimaliza CCM.
Karibu upalilie kaburi lao tushaua siku miiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi
 
habar ya miangaiko ya kimaisha ya kila siku nasikia JF,JF so leo nimeonabora niingie kwan nimeelezwa nawezatoa dukuduku zangu mbalimbali ambazo zinazunguka jamii kiujumla.

jamani nikaribishen na ninaimani nitapata ushirikiano wenu.😛eep:😛eep:

Nadhani ukaribisho uliouapata unatosha kabisa kujiona mfalme.
 
Karibu sana JF. Tegemea kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom