Hodi hodi wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hodi hodi wana jf

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by MCHUMA MBOGA, Mar 29, 2012.

 1. M

  MCHUMA MBOGA Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatimaye leo nimeamua kubisha hodi rasmi ndani ya JF ili nami niwe mwanafamilia baada ya kuwa guest wa JF kwa muda mrefu ambapo nilipata fursa ya kufuatilia posts mbalimbali zenye hoja. Natarajia kupata ushirikiano wenu. Asanteni.
   
 2. Ishina

  Ishina Senior Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Karibu saaana! Ila mgeni wetu umekosea njia, hapa sio mahala pake, ulitakiwa uanzie mapokezi kupiga hodi, baada ya kukaribisha ndo unaweza kuja mpaka huku chumbani.
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kama kila mtu anayeingia atabisha hodi kuwa ameingia badala ya kuingia na mada muda wote utakuwa ni kupokea wageni na kupoteza muda kama magamba au na wewe ni mmoja wao kwasababu mnakuja na majina kama la baharia wakati kumbe ni mitoto ya mafisadi mnaijua wakati inataka kugombea uongozi inabadili ID kuweka jina halisi mfano wale wa East Africa
   
 4. M

  MCHUMA MBOGA Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru, nimekuelewa.
   
 5. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  unaingia kwa style ya ngonjera....?? uwanjani ushafika mwaga hoja sasa
   
 6. M

  MCHUMA MBOGA Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshakusamehe kwani hujui unachokisema. Unaonekana unafrustration za kutosha kiasi kwamba sasa unatumia mgongo kufikiri badala ya ubongo.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Karibu Mchuma Mboga!
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  karibu mchuma mboga...mm vutiwa na ID yako zaidi!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Karibu...
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Karibu sana JF.
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Karibu sana JF. Tegemea kupata ushirikiano wa kutosha kutoka kwangu.
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karibu sana.
   
Loading...