Hodi wadau wa Jamii forums, I hope mko poa, kwa mda mrefu nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali hapa jf bila kupewa access ya kupost au kuchangia jambo lolote japokuwa nimejiunga jf mda mrefu, nashukuru leo nimeweza kuwa approved, hodi hodi kwa mara nyingine, mimi ni ndugu yenu