Lugoda lwa chuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 205
- 382
ndo hao hao WA mtaaniKwangu sio tatizo mkuu.. Nataka Hao wa kukutana nao mtaani unatongoza. Sio Malaya wa bar
ndo hao hao WA mtaaniKwangu sio tatizo mkuu.. Nataka Hao wa kukutana nao mtaani unatongoza. Sio Malaya wa bar
Nilipita tu na basi, ni kamji filani kamekucha.Insha'allah, mwisho wa mwezi huu nitakuwa Tunduru kwa wiki moja moja Kati ya tarehe 23 hadi 30.
Hoteli ipi nzuri ya kufikia? Viwanja?
Vipi kuhusu utalii wa ndani? Nipeni kuhusu ABC zake.
With much thanks in advance