Hodi hodi nijilee!

Hodi hodi nijilee!

Nguruvi3

Platinum Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
16,472
Reaction score
34,344
Wakubwa nawasabahi, nimeingia ukumbini nipeni kigoda cha kukalia sio kagoda invest.
Najulikana kama Nguruvi3 kwa wale wa paris a.k.a pare wanajua maana, hekima zimejaa ndani ya DNA zangu,nina allergy na matusi, napenda mzaha wenye busara.
 
karibu jamvini! ndugu yetu Nguruvi3
 
karibu jamvini bila shaka wewe sio nguluvi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom