Hodi hodi humu ndani.

Hodi hodi humu ndani.

Orayt... ngoja niserebuke na mgeni wetu afu nisepe.....

picha.jpg

We Asprin leo ni J4 V2ko vya nini sasa? KARIA karibu tunywe mbege kwa dengerua.
 
Last edited by a moderator:
Charminglady anajiremba mno mpaka naumuogopa, Yummy mashaallah portable,Smiles afananii kabisa na jina lake, Cute loh nafsi inaninyongonyea maana ndio haswaa ugonjwa wangu sasa napata kigugumizi sijui niende wapi Erotica au Cute?


Please KARIA huyo sio mimi ni MadameX hebu click hilo jina utamwona tafadhali mie ni huyo hapo wa pili kushoto
 
Last edited by a moderator:
Karibu KARIA ila punguza spidi kaka. Umepewa lifti unataka ubonye horn? Mapema mno, tulizana cheki upepo ndo uibue kishtobe. Shauri yako, wengine wajane na watalikiwa sugu humu. CHIMO
 
We Asprin leo ni J4 V2ko vya nini sasa? KARIA karibu tunywe mbege kwa dengerua.
Tajike shukrani sana hapo kwenye mbege ndio haswaa mwake! huko kwenye dengelua simo hiyo kwa watani wangu washambaa! sorry Wasambaa!
 
Karibu KARIA ila punguza spidi kaka. Umepewa lifti unataka ubonye horn? Mapema mno, tulizana cheki upepo ndo uibue kishtobe. Shauri yako, wengine wajane na watalikiwa sugu humu. CHIMO

Bora na ww umemuona, awali nikidhani nimemuona mie tu, mgeni kaja na Uchu utadhani Konda kaona kundi la abiria.
 
Bora na ww umemuona, awali nikidhani nimemuona mie tu, mgeni kaja na Uchu utadhani Konda kaona kundi la abiria.
Awali khull jamani! chelewa chelewa utakuta mwana si wako!
 
Awali khull jamani! chelewa chelewa utakuta mwana si wako!

Hapa hatuna mgeni !
Mgeni mimate inakuvujaje?
Ngoja kwanza nimtafute Konnie akufunge apron vinginevyo shati kifuani litatota! Khaa!
Mgeni hata jukwaa la wenye nyweleLowasa unapajua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom