Hodi hodi humu ndani.

Yummy atakumassage, msubirie hapo hapo
Bebii BADILI TABIA, twenzet lunch bana. Tukale wapi leo?..... Nimetonywa KARIA mwenyewe kumbe katoka kufumaniwa juzi tu. Ataniulia dadaangu Yummy bana.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Dogo kribu!
Umekuja una shiing'ngapi ?
Ukinitajia amount ya uongo, utakua una access ya jukwaa la matangazo na siasa tu! Hapa nakuondoa!
Haya sema fasta mfukoni hapo unazo ngapi ?
KONNIE usham'bandua lebo huyu ?
Kama bado m'bandue fasta.
 
hapa babu tuone niya ya Karia iko vipi kwanza. sikutumi yeye ndiye akutume kwangu.

kama ni pipi bora uombe tu usiitake kama malipo. teh teh
Babu Asprin naomba uwe mshenga nabest man wangu kwa Erotica! Please!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom