Hodi hodi hodi

Mtanganyika1

Member
Sep 13, 2011
56
5
Na bisha hodi tayari nikiwa ndani ya nyumba hii ndo tabia zetu huko kijijini msishangae mimi ni Mtanganyika1 siyo mdanganyika naomba mnipokee tu,tutasalimiana baadae baada yakuketi ndo tamaduni zetu wale watanganyika.
 
Twambie jinsia yako tujue tukukaribishe chumba gani kwani kila chumba kina miiko yake!!
 
Halo halooo karibu japo taifa unalolisema halitambuliki, de latest ni Sudani ya kusini we.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom