MM4?? mi ni CCM for life mkuu CCM imetoa rais toka kijiji chetu katu siwezi kuisaliti asante CCM kutupa hadhi ya kutoa rais wa jamhuri
Karibu sana Chit chat...
Tangu cc ya cdm imemwekea Zitto kitu kizito, tumekuwa na wageni wengi sana!
Nina mashaka na huyu msoga yetu