engwe1980
Member
- Apr 12, 2012
- 53
- 37
Samahanini kwa kuwa nilikosea nikawaingilia kichwakichwa bila kupiga hodi. Nimejisahihisha sasa naomba kuingia rasmi.
Hodi jamvini. Nimekuwa nikifuatilia JF tangia zamani lakini nilikuwa sijajiandikisha. Nimejiandikisha ili nami niwe sehemu ya historia itayojengwa na JF. Kwani naamini siku nchi ikikombolewa wanaJF watakuwa ni watu wenye furaha sana kwa jinsi walivyochagiza ukombozi wa Taifa hili. Hivyo nami sikubali nataka niwe miongoni mwao.
Hodi hodi.