Hizi zinazoitwa smart phone ndivyo zilivyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi zinazoitwa smart phone ndivyo zilivyo?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, Aug 14, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  sijui kwa wengine kama mnapata hii adha...

  Nina kinokia changu, E72...mara nyingi nikiwa active katika packed data huwa sipatikani hewani. Nimehakikisha hili baada ya kujaribu mara kadhaa kuweka line katika simu ya kawaida.
  Je tatizo laweza kuwa nini? Ndivyo simu za Nokia zzilivyo au ni hii yangu tu?
  Kama tatizo ni simu, ni aina gani tena ya smartphone isiyo na matatizo ya network?

  Naombeni msaada wenu ili nisije fanya kosa tena katika next purchase.
   
 2. M

  Museven JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nokia N70 haisumbui kwa network. Unapokea cm halafu unaendele kusurf km kawa
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hiyo inaenda kwa bei gani?
   
 4. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,243
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  nikupe sh ngapi, uniachie mimi hayo matatizo
   
 5. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kama una 200k poa
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  duh e72 sawa una kiwanja kariakoo halafu n70 kiwanja tandale kwa mtogoleeeee.

  Hiyo packet data ni edge au 3g?
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu hapo ndo pananipa shida, nashindwa kutofautisha achilia mbali kuset
   
 8. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,243
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  150k nkutafute kesho
   
 9. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  Angalia juu ya screen kuna herufi E au 3G
   
Loading...