jamani watu tumesoma kwa shida inafikia mtu unatembea toka ubungo mpaka posta kutafuta degree sababu ya ugumu wa maisha unapata ajira serikali inasitisha ajira kupisha uhakiki mpaka leo mambo hayaeleweki watoto wa masikini mnatuua jamani kila jitihada zinashindikana tu.