Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

Mleta mada ni polisi mla rushwa,mh lugola kabana sana kwa sasa na anafuatilia vilivyo.

Lugola ni waziri wa mambo ya ndani ambaye kiukweli kabisa anachapa kazi,amewabana sana polisi wote wapenda rushwa,ubabe na polisi wote wasiopenda kufuata sheria.

Mh lugola chapa kazi,mkuu bado ana imani na wewe,na kamwe usikatishwe tamaa na baadhi ya askari wachache wasio waadilifu.
Kwa hiyo Mhe Rais naye anatumika na mafisadi??
 
Ndio viongozi wanaopendwa na mkulu,Kangi Lugola kabla ya uteuzi alikuwa ameburuzwa mahakamani kwa kuomba rushwa kwenye kamati za bunge!!!
Africa ndiyo hiyo ...... Jamaa anakuharibia kazi halafu unadai kuwa bado unampenda sana. Matatizo ya kutoa vyeo kwa watu mnaojuana ... lazima utamuonea aibu wakati wa kumtema!! Ndiyo hiyo ooh nakupenda sana ....!!
 
Hata hivyo Rais wetu nae kwanini alimteu au kwa sababu ni mwanafunzi wake?
uku historia yake inaonesha alikuwa na kesi ya kuomba RUSHWA ..
 
Tuhuma ulizotoa wewe hazihusiani kabisa na hizi tuhuma zinalolihusisha jeshi la zimamoto
. Pia kujiuzulu sio kwamba yeye amefanya hilo dili, inawezekana akawa amewajibika kwa makosa ya watendaji walio chini yake.
wapi nimetoa tuhuma??

mbona umekua mnyonge sana, nini shida??
 
wapi nimetoa tuhuma??

mbona umekua mnyonge sana, nini shida??
Ahaaa. Unyonge wa nini? Ulisema anapewa rushwa na askari ili awabebe. Pia ma RPC wanamlipia hoteli akiwa mikoani.
Tofauti kilichoelezwa leo. Umesahau kilichomkumba Mh Simbachawene na sasa ni waziri ! Au hujui siasa za Tz.
wapi nimetoa tuhuma??

mbona umekua mnyonge sana, nini shida??
 
Ahaaa. Unyonge wa nini? Ulisema anapewa rushwa na askari ili awabebe. Pia ma RPC wanamlipia hoteli akiwa mikoani.
Tofauti kilichoelezwa leo. Umesahau kilichomkumba Mh Simbachawene na sasa ni waziri ! Au hujui siasa za Tz.
naona umenifananisha na baba mkwe wako.

huyo tumbo amekatiwa chini full stop.
 
Back
Top Bottom