Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

Huyu mtu alishawahi kupelekwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa nilishangaa sana aliyemteua hakufikiri kwa kina kuhusu huyu mtu.
Magufuli huwa anajua lakini ana tabia ya kupuuza tuhuma dhidi ya mtu anayempenda. Kwa bahati nzuri kashfa ya Romania imempa somo Magufuli kuhusu kuzingatia malalamiko ya wananchi juu ya makandokando ya watu anaopenda kuwateuwa kuwa wasaidizi wake.
 
Back
Top Bottom