Mawaziri waliotumbuliwa kwa fedheha (2005-2023)

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,565
32,212
Leo tujikumbushe Waheshimiwa Mawaziri waliowahi kutumbuliwa kwa fedheha ikiwemo tuhuma za (rushwa, udhalilishaji, ulevi, kutumia madaraka vibaya).

1. Laigwanani Mkuu (tuhuma za Rushwa RICHMOND) - mzee wa kuzungusha mikono hewani, ha ha ha
2. Charles Kitwanga, (ulevi)
3. Prof Muongo,
4. Kanghe Lugola,
5. Pauline Gekul (udhalilishaji)
6. Simon Mbilinyi,
7. Id Simba,
8. Msabaa,
9. Kalamaji,
10. Joka la Makengeza, 'vijisenti',
11. Profesa wa pesa ya mboga,
 
Tokea mwaka huo mpaka mwaka huu mwenyekiti wa Chadema ni yule yule.

Rekodi ya gunia.

Chadema wanastahili tuzo ya kuburuzwa.
Tokea mwaka huo 1977 mpaka mwaka huu mwenyekiti wa CCM hajawahi kushindanishwa na mgombea mwingine.

Rekodi ya dunia.

CCM wanastahili tuzo ya kuburuzwa.
 
Leo tujikumbushe Waheshimiwa Mawaziri waliowahi kutumbuliwa kwa fedheha ikiwemo tuhuma za (rushwa, udhalilishaji, ulevi, kutumia madaraka vibaya).

1. Laigwanani Mkuu (tuhuma za Rushwa RICHMOND) - mzee wa kuzungusha mikono hewani, ha ha ha
2. Charles Kitwanga, (ulevi)
3. Prof Muongo,
4. Kanghe Lugola,
5. Pauline Gekul (udhalilishaji)
6. Simon Mbilinyi,
7. Id Simba,
8. Msabaa,
9. Kalamaji,
10. Joka la Makengeza, 'vijisenti',
11. Profesa wa pesa ya mboga,
12.Nape
13.Gekuli Kachupa
 
Ivi Kangi lugola aliponzwa na kunengua na kushika viuna vya mabinti au ni mambo mengine, nakumbuka alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi
 
Back
Top Bottom