Siyo kulitumikia Taifa semaHaya sawa nimekuelewa mke mwenzangu,
Basi hebu toka haraka kwenye uzi wangu na popote ukiniona pita mbali mita 50 mbele.
Wacha nitumikie taifa, sina muda wa kuja kukujibu wew ambae hata mb hadi uunganishwe unakuja kujibizana na wanawake watafutaji.
Siyo kulitumikia Taifa sema
Ukasake mabwana kwa vile mtaani umeshaharibu kwa tabia zako chafu za kujiuza. Umeona Jf ndiyo pa kupatia bwana!!?
Stress za kukataliwa mchezo!! Nyuzi 3 za kusaka zote holaaaa, hahahaaaa anatafuta wa kumalizia stress zake, achana nae.
Umenionea wapi ibra87 namdai ujue.
Utaabdika mitusi yoote uijuayo. Lakini ukweli wako nimekupa. Acha kulazimisha wanaume wakutongoze. Tabia yako chafu sana.
Hahahaaaa. Mitusi imeisha eeeh. Siku ingine usiparamie wanaume hovyo utakufa kibudu.Haya basi pita wamekuona watakufuata pm.
Zile milioni ngapi za siku ile ulizoongelea si nilikuambia hazitofika!! Aliyeyuka nazo hivi hivi!!
Nashukuru umekuwa mpole. Si ulijifanya kuja kwa mitusii!!? Unapanic kwa kuambiwa ukwelii!!? Jifunze kuongea na watu. UtaumbukaUnajitahi kunichafua lakini watu na nyota zetu, hata unipake mavi bado nitanukia kama waridi, usipoteze muda wako
Hahahaaaa. Mitusi imeisha eeeh. Siku ingine usiparamie wanaume hovyo utakufa kibudu.
We **** hebu pita, washakuona kama upo kwenye joto watakuja tu khaa!!
Mpapuchi hauuziki huo. Kauoshe na tindikali
Jamani jamani jana nimemuuliza kasema zilifika,
Niko hapa namsaka aje ajibu tuhuma.
[5*] na wanaume wanaowadanganya wanaume wenzao wasiwape wapenzi wao pesa mkome tena mkome kabisa... uchoyo wenu uishie huko huko.
Hazikufika hata senti, sijui aliishia wapi!! Wakati nilimwambia bora yeye asifike ila pesa zifike.
Toa shaka sio muda mrefu atakuja kueleza pesa zilienda wapi?? au ndio maana sikumuona kama siku kadhaaa inawezekana alikuwa anazitumia. kwakweli aje aseme zimetukaje na alikua na nani?
Yeah pesa kwanza mengine baadae