Hizi taasisi zipo wizara gani?

Hizi taasisi zipo wizara gani?

Digital Ticha

Senior Member
Joined
Jun 16, 2023
Posts
139
Reaction score
200
Naomba mnisaidie kufahamu hizi taasisi zipo chini ya wizara gani?

1. BRT - barabara ya mwendokasi
2. SGR
3. MGR
4. Bomba la mafuta kupeleka nje ya nchi au nje ya DSM
5. Miundombinu ya reli
6. Barabara kubwa za DSM mfano Morogoro road, Mandela road
 
Wizara ya Ujenzi na Miundombinu km sijakosea km nimekosea basi acha niendelee kunywa bia
 
Naomba mnisaidie kufahamu hizi taasisi zipo chini ya wizara gani?

1. BRT - barabara ya mwendokasi
2. SGR
3. MGR
4. Bomba la mafuta kupeleka nje ya nchi au nje ya DSM
5. Miundombinu ya reli
6. Barabara kubwa za DSM mfano Morogoro road, Mandela road
SGR,MGR-Wizarq ya uchukuzi
Barabara kubwa-Tanroads chini ya wizara ya Ujenzi
Reli Wizara ya uchukuzi
Bomba la mafuta-Wizara ya nishati
BRT infrastructure- Wizara ya ujenzi
 
SGR,MGR-Mawasiliano na uchukuz
Barabara kubwa-Tanroads chini ya wizara ya Ujenzi
Reli mawasiliano na uchukuzi
Bomba la mafuta-Wizara ya nishati
BRT infrastructure- Wizara ya ujenzi
Uchukuzi kwa sasa inajitegemea ambayo yupo Prof. Mbarawa na Mawasiliano yupo Kairuki
 
Back
Top Bottom