jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,522
AMINA ...🙏🙏Mwachie Mungu huku ukikazana na mipango yako
Halafu we uko wapi kwanzamara nyingi haijalishi ndoto nnayoota iwe nzuri au mbaya ila mazingira hua lazima yawe kwenye nyumba ambayo tuliishi zamani nikiwa mdogo ila tulikuja kuhama, lakini bado ndoto zangu nyingi lazima mazingira yawe yale hii inamaanisha nini
thanks babesHalafu we uko wapi kwanza
Ningekuwa kitabu kimoja hivi kingekusadia sn
Kinakupa muongozo wa namna ya kutafsiri na kuzielewa ndoto Cha mtumishi wa Mungu Mwal.C.Mwakasege
Au km upo dar nenda ofisi zao pale azania unapata
Sahivi kina matolea 4
We Anza na toleo la kwanza utapata maana zote hizi
Mbona Kama ni adui aliyetumwa kiroho SEMA nguvu yako ya kiroho imekusaidia.Kuna Dada anavaa baibui jeusi la kuficha sura simjui nimemuota kama Mara mbili
Mara ya kwanza nimeota Niko mgahawani (cafeteria) nakula kaja kakaa kwenye kiti karibu yangu ananiangalia nikampa chakula kila nikimuongelesha aongei ananiangalia tu namuuliza jina yupo kimya
Mara pili niliota nimeenda kwenye jumba bovu nakojoa Mara namuona kwa ukumbini kasimama Mara kaanza kunikimbiza kama anapaa kwenye dirisha anavuka kunifikia mi nikaruka chini kutoka baraza ya hilo ghofu maana ni refu nikasepa ye akaruka huko anapaa kunifuata ila kanikosa
HII NDOTO ILISHANIKUTA SANA NAPEWA NAMBA NA MTU NDITOTONI NIKIAMKA ASUBUHI NAIKUMBUKA NAIPIGA NA INAITA FRESH TU.Mshana, mm Jana nimeota namba ya simu fulani nilipoamka nikajaribu kuipigia namba hiyo ikaita na mtu akapokea japo sikumfahamu sasa ndoto hii ina maana gani brother
Sent using Jamii Forums mobile app
KIROHO UNA NGUVU KUBWA DHIDI YA UADUI.Aisee nshana Mara 2 nimeota kuwa nakimbizwa na chui ila napata ujasiri wa kugeuka na kumuua. Huwa ninamuua chui na nyoka kwa fimbo nyepesi mnoo! Chui namwagia mchanga machoni kisha namnyonga shingo Yake.
Karibu dearthanks babes