Hizi sinema zinatuharibia watoto

Hii sio sinema mkuu ni hizi taatifa za habari zinazochukua nafasi siku hizi
 
Kwani kupiga magoti ni tendo la aibu?Sio tendo la heshima Mkuu Bishop Hiluka Huwezi kumpigia magoti mama yako au baba yako aliye kuzaa?

Lakin kumpigia magoti binti uliemzid umri katik nchi ambayo si ya kifalme ni aibu.
 
Last edited by a moderator:
Hao waliopiga magoti watakuwa CCM maana wamezoea kujipigisha magoti ovyo....... Huyo Kamanda atakuwa.....



Wamempigia Magoti Mke wa Rais mam salm Kikwete ni kuonyesha heshima jinsi wanavyomuheshimu mke wa Rasi mkuu Sikonge Si makosa ni moja ya mila na zetu sisi Waafrika kuwaheshimu wake wa Viıngozi wetu.



Mbona Rais Obama amuinamia Mfalme Abdullah wa saudia Arabia.Itakuwa hao wanachama wa CCM kumpighia Magoti mke wa Rais Mama salma Kikwete? acha fikira potufu jamani.
 

Attachments

  • obama_bow_1381505c.jpg
    18.6 KB · Views: 970
Inategemea huyo Binti akiwa mke wa Rais hutoweza kumheshimu ? Kwa sababu umemzidi Umri? mkuu egentle unajuwa mke wa Rais ana heshima yake pekee.

As i said hapo juu, ingekuwa na malkia sawa tungesema ni utaratibu wa kuonyesh heshima ya hali ya juu.
Maan kuianama ni ishara ya kutoa heshima. Lakini wa Rais/Rais mwenyewe heshima ntayo mpa may be kuacha nnachofanya na kumsalimia bt si hilo hapo juu
 
Mkuu, hapa unatu-Nape mchana kweupe. Urais na Mke wa Rais ni Mila za Kiafrica? Mke wa Rais ndiyo kabisa.

Mila zetu sisi ilikuwa Watemi tu. Hata wao, hakuna aliyeheshimu wake zao.

Obama alitumia Mila za Waafrica Ku-bow kwa Mtu anayekuzidi umri.

Unajua hili huwa tatizo kubwa kwa watu weusi. Nasikia hata Uhuru Kenyatta alipiga magoti kubusu Pete ya Askofu/Padre ila alikuwepo General mmoja wa jeshi, akamshika na kumnyenyua palepale kuwa, hawezi kumpigia magoti kwani yeye pake ni Rais. Hivyo, hata Obama ilikuw ni kutokujua tu na Mila/heshima kutawala zaidi.

Sasa hebu muangalie huyo Babu na umri wake, kisa ya kumpigia magoti Mama Salma ni nini? Nchi hii ni full Kujipendekeza. Ukiona hadi Maprofesa wanajipendekeza, ujuwe tumekwisha. Ninategemea mwezi kamahuu mwakani, tutakuwa tumeanza mchakato wa katiba inayoondoa Mfalme kutawla TANZANIA maana anateuwa hadi wakuu wa vyuo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…