Kiukweli watu wa vituoni ni wazuri sana kucheza na pampu. Ile pipe tuu ya pampu inauwezo wa kubakisha mafuta si chini ya lita mbili,kama atayavuta na kuachia mkono kwa haraka,hii ni kwa pampu za mgongo ambazo vituo vingi bado zinazitumia. Lakini kuna pampu za kisasa za digits hizi huruhusu mafuta yote kutoka na kama utafunga mkono,huwa zinalalamika.
Meter ya pampu husoma mafuta yanayopita kwenye chemba ya mashine na sio mafuta yanayosalia katika pipe,kutoka ktk koki hadi kwenye mashine,ambayo huwa na urefu kuanzia mita tatu hadi nne na ni pana za kutosha,zile huifadhi mafuta yaliyosomwa katika pampu lakini hayajaingia katika tenki ya gari.