Hizi sheli za oil com kulikoni

Hizi sheli za oil com kulikoni

Yaani siku hizi, ukilala tu lazima ukwatwe kidizaini fulani hivi, si unaona? By JB.... recorded one of the petrol stations! Hamia Airtel utayajua yote hayo, sasa nimeanza kuamini kumbe hata vipisi vya mikate navyo hua tunakatwa.
 
hiyo oilcom nishahama kununua mafuta tangu zamani sana, kama nimeishiwa mafuta nanunua kwa kidumu.. tatizo ni kwamba wengine ukitaka kununua kwa kidumu wanagoma kukuuzia kabsaa ukiona sheli ya hivyo kimbia usirudie hapo hao ndio wezi wakubwa kabisa..
 
mie naona sheli nyingi tu hasa huku nilipo,,,, hapa nina kidumu cha lita tano na kumi nikitaka mafuta huyoo na kidumu changu na nakuwa siriaz balaa!!!! mwanzo nilikuwa nagomewa lkn sa hivi wamezoea!!!"
 
Ndio maana nilimaliza pesa wengi sana kwa mafuta nikiwa mbeya, bila shaka hii ni ile oilcom ya mafiat pale mby maana ndio nilikua naweka mafuta mara nyingi.

hahaaaaaa hapo hapo mfiati na ni mchezo wa wadada wote pale
 
Mi naona hiyo inaweza kusaidia isee nimeibiwa mpaka nikajua tank imetoboka labda

Pole sana mkuu,ukicheka na hao pimbi utapata hasara sana,ni mwendo wa kidumu tu halafu unakunja sura,ni hela yako.Mijitu imekuwa mijizi sana.
 
Umenichekesha sana....

Ni sawa na kusema naomba pampus

Kuna siku mdada SH Amoni alikataa kunipa huduma kisa nimetumia brand name ...nilimpaka vibaya sana...mteja ni mfalme yeye anataka nijione stupid...nilimwambia naomba hiyo Angle Face...kumbe ni brand akasema hana wakati nilikuwa naonyesha kwa kidole...nikagundua ameniona mjinga.
[
QUOTE=Mshombsy;7558401]"Shell" ni kama "Oil com" vyote ni vitu vya mafuta. Shell ni Uholanzi na Oil com ni wabingo. Shell walishindwa kujiendesha kibongo bongo kama kutoa rushwa nk wakafunga virago kama BP.
Nilikuwa najaribu kuondoa utata huo wa bongo kila kituo cha mafuta kuitwa shell. Marekani wanaita Gas Station.[/QUOTE]
 
Nawataharifu kkuhusu sheli za oil com ni wezi vibaya tahathari ukiwa unaweka mafuta usikae kwenye gari shuka uhakikishe nilijua ni mimi tu nimepata ili tatizo nimekutana na rafiki zangu 3 wanalalamika nilipowauliza sheli gani wakasema ni oil com nimeamini kweli jamaa wasanii. Tuwe makini jamani

Hakuna kitu nachukia km mtu kutumia neno sheli km tafsiri ya utambulisho wa vituo-kituo cha mafuta,sheli ni sawa na oilcom,lakeoil,gbp nk,them days ndo kulikuwa na Cartex,Shell nk,honestly inashangaza sana hadi watu tunaofikiri wanapaswa kuwa na weledi mkubwa km mawaziri,wanacommit the same mistakes.
 
sio shell za oil com sema kituo cha mafuta cha oil com,shell ilikuwa kampuni ya mafuta kama vile bp,agip,oilcom,camel,total na nyinginezo.sasa mkuu ni hivi kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake kama wewe umepigwa za uso hapo na wewe tafuta mnyonge wako umpe za uso,kila nyonge ana mnyonge wake.
 
Yaleyale ya mtu anaposema "iPad ya Samsung"

Ama kila vacuum cleaner bongo inapoitwa "Hoover"
 
Hakuna kitu nachukia km mtu kutumia neno sheli km tafsiri ya utambulisho wa vituo-kituo cha mafuta,sheli ni sawa na oilcom,lakeoil,gbp nk,them days ndo kulikuwa na Cartex,Shell nk,honestly inashangaza sana hadi watu tunaofikiri wanapaswa kuwa na weledi mkubwa km mawaziri,wanacommit the same mistakes.
Kaka neno sheli limeingizwa kwenye lugha ya kiswahili (limetoholewa) baada ya kuonekana linatumika sana. Hivyo kiswahili sanifu cha neno Petrol Station ni 'sheli'. Naona watu wengi mnatoka povu.
 
Kaka neno sheli limeingizwa kwenye lugha ya kiswahili (limetoholewa) baada ya kuonekana linatumika sana. Hivyo kiswahili sanifu cha neno Petrol Station ni 'sheli'. Naona watu wengi mnatoka povu.

Hakuna mtoka povu mkuu, kuuliza si ujinga. Lugha inakuwa kwa kasi na wengine labda tunaachwa nyuma.
Hebu dadavua basi kuhusu iPad ya Samsung ili tujue pia kama tablets zote zimekubalika kuitwa iPad katika lugha ya Kiswahili
Vilevile tujulishe kama vacuum cleaners zote zinaitwa Hoover kwa kiswahili
Natanguliza shukran zangu
 
Kaka neno sheli limeingizwa kwenye lugha ya kiswahili (limetoholewa) baada ya kuonekana linatumika sana. Hivyo kiswahili sanifu cha neno Petrol Station ni 'sheli'. Naona watu wengi mnatoka povu.

Mmmhhhh kwahyo hata "KUDIPU" nalo limetoholewa maana linatumika sana? Kama BAKITA wamafanya ujinga huo basi watakuwa mambululaz! Sheli(shell) maana ya kituo cha mafuta ni upuuzi!!
 
Kwa kweli hapa bongo petrol ukiita gasi huwezi kueleweka. Lol...bora tuseme oil station

Oil Station tena lol...sijui kama unajua kuwa oil ni product nyingine kabisa ambapo sisi waswahili huziita 'vilainishi'.

Ni bora utumie maneno kama 'Fuelling Station' au 'Filling Station'...
 
mi huwa natupia kwenye kidumu changu fasta then naenda kusababisha mwenyewe mbele ya safari
 
Hakuna kitu nachukia km mtu kutumia neno sheli km tafsiri ya utambulisho wa vituo-kituo cha mafuta,sheli ni sawa na oilcom,lakeoil,gbp nk,them days ndo kulikuwa na Cartex,Shell nk,honestly inashangaza sana hadi watu tunaofikiri wanapaswa kuwa na weledi mkubwa km mawaziri,wanacommit the same mistakes.

Au jitu kubwa zima linashindwa kusema l badala yake linaweka r...

Yaaani badala ya kuandika Caltex lenyewe limekazania Cartex!!!!!

Inashangaza kuona mtu mwenye weledi anafail padogo hivi!!!!

Mytake; Kama mtu haelewi kitu mueleze kistaarabu mkuu believer sio kumshambulia
 
mi huwa natupia kwenye kidumu changu fasta then naenda kusababisha mwenyewe mbele ya safari
Mimi mbona wote wanagoma kabisa hasa vituo vilivyopo Morogoob Road. Hawataki kabisa eti SUMATRA ama mdudu gani sijui kawakataza kumbe janja yao ya kuiba mafuta.
 
Gasoline station/kituo cha mafuta nafikiri ni sahihi zaidi. Neno gasoline inajumuisha mafuta yote ya motokaa iwe lubricants,diesel,power n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom