Naki 12
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 1,263
- 1,308
ndio ndo hapo facebook takeaway. ukiacha chips pia wana uza biriani sinia la kushareAu ndo pale wanapaita facebook
ndio ndo hapo facebook takeaway. ukiacha chips pia wana uza biriani sinia la kushareAu ndo pale wanapaita facebook
Pale anauza rojo, biriani nkndio ndo hapo facebook takeaway. ukiacha chips pia wana uza biriani sinia la kushare
Elimu,elimu,elimuHuyu yupo mtaa gani, ila chips ni starch nashangaa mtu ukila unaonekana nyoronyoro
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umeona chief, yani swala ni elimu ya vyakula watu wanachukulia chips ohmya oya ukila chips unaoneka nyoronyoro wakati ni kundi moja na ugali [emoji13][emoji13]Elimu,elimu,elimu
Hawajui ugali nao starch...afadhali chips zimeongezewa na mafuta.
Pale anauza rojo, biriani nk
Naona mate yamekutokaurojo wake sijawahi kuujaribu [emoji39]
Ndo mng’ate vidole kweli[emoji849][emoji849]
ndio ndo hapo facebook takeaway. ukiacha chips pia wana uza biriani sinia la kushare
Wakati ninaishi Kunduch enzi hizo kulikuwa kuna sehemu kunaitwa kwa Pacha au Bonge, pale chips samaki ilikuwa balaa. Kuna demu alikuwaga kila siku ana drive toka kinondoni kuja kuzifuata pale.Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora ambazo ukigonga kiepe lazima utafune kidole kwa bahati mbaya ili 2021 tutembelee
UPDATES
machimbo ambayo hupaswi kukosa mwaka 2021
-mwedi chicken chips:arusha ngarenaro
-sele bonge : Morocco
-kwa bonge : corner bar
-kwa shirima : upanga
- kwa hamijei : k/njama
-kwa njoroge : mzumbe university