RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,382
- 1,851
- Thread starter
- #61
Jamaa wanafanya kazi nzuri kwa kweli.Seat covers nzuri mnooo! Nimevutiwa.
Jamaa wanafanya kazi nzuri kwa kweli.Seat covers nzuri mnooo! Nimevutiwa.
Nani huyo mnamzungumzia.?at the time roofliner nilifanyiwa 130k roof ikarudi upya kama gari imetoka kwa jeps.... na dashboard kwa 90k milango kwa 50k ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu! Parefu. Safari ya wapi hiyo? Dsm, Mwanza au Arusha? Nafikiri wazo zuri ni kufanya gari zima usahau.Nani huyo mnamzungumzia.?
Mbona mi safari waliniambia Mark X laki 6 dashboard tu?..
Ilibidi nikae pembeni kwanza..bei gani hio js for dashboard?..
Ya Dar....i was shocked..its overpriced i thnkDuu! Parefu. Safari ya wapi hiyo? Dsm, Mwanza au Arusha? Nafikiri wazo zuri ni kufanya gari zima usahau.
Okay. Ni kweli, kwa dashboard pekee, laki 6 ni parefu.Ya Dar....i was shocked..its overpriced i thnk
Kazi yao kweli ni nzuri ila bei sipati uwiano mzuri..
Gari zima labda km limechoka
Bt dashboard ndo common issue
Mac Auto.... dashboard waliniwekea simple leatherNani huyo mnamzungumzia.?
Mbona mi safari waliniambia Mark X laki 6 dashboard tu?..
Ilibidi nikae pembeni kwanza..bei gani hio js for dashboard?..
Hawa jamaa ni wabunifu saana, sijui wamejifunza wapi hii kazi, maana kazi zao kwa kweli ni level nyingine.
Sio kazi tulizozoea kuziona kwa mafundi wetu wa mtaani.
Wanatengeneza seat covers, roofs, carpets, dashboard, steering cover etc kwa quality ya juu kiasi kwamba inaonekana vizuri kuliko hata interior ya baadhi ya luxury brands.
Safi saana. Soon tutaweza ku-pimp magari yetu ya kizamani tunayoyapenda na kuyapa muonekano wa kisasa.
Big up sana.
Isijekuwa wameota mapembe mkuu, na hii itakuwa hatari sana kwao, na kama ni kweli unachokisema basi nguvu kubwa wanayoitumia kutengeneza bidhaa zenye ubora itakuwa kinyume na retuns yao. Aisee nyie jamaa, mdau huyu hajapenda mlivyompokea, em rekebisheni vikasoro hivyo vidogo vidogo! muweze kutengeneza soko mpaka na nyie muwe exporters.( Made in Tanzania sio title ndogo hiyo inapokuwa kwenye foreign markets)hawa jamaa hawana customer care kabisa niliwahi kuwatembelea walivyonipokea tu nikabadili uamuzi wangu wa kubadili roof ya gari. Ila wanafanya vizuri ila customer care siyo nzuri kabisa.
Bei zao zikoje? Tupe mfano
Mi napendaga interiors za creamy au Tan Color. Huwa zinanipendeza sana machoniUkichanganya changanya rangi inapendeza siku za mwanzo tu....baada ya wiki mbili hivi macho yanachoka kiziona hizo rangi....inatakiwa rangi moja simple nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio ishu inalalamikiwa sana na wateja wa Dar. Wakati mkoani mafundi wanakushonea covers zote kwa laki 2 tu. Kuna jamaa alinipa qoutation ya laki na 60Ya Dar....i was shocked..its overpriced i thnk
Kazi yao kweli ni nzuri ila bei sipati uwiano mzuri..
Gari zima labda km limechoka
Bt dashboard ndo common issue
Hii ndio ishu inalalamikiwa sana na wateja wa Dar. Wakati mkoani mafundi wanakushonea covers zote kwa laki 2 tu. Kuna jamaa alinipa qoutation ya laki na 60
azam upholsteryIle upholstery ya mtoto wa Bakharesa inaitwaje. Naona nao wapo vizuri.
Ila usafi wake shughuliMi napendaga interiors za creamy au Tan Color. Huwa zinanipendeza sana machoni
Eeh kuna watu sio wastaarabu kabisaIla usafi wake shughuli
unaweza pigana mtu akikaa ndivyo sivyo kwny gari yako