RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,381
- 1,850
- Thread starter
- #41
Hata mie naikubali saana. Na pia inapendeza zaidi ukiweka rangi moja, kuliko kuchanganya.
Hata mie naikubali saana. Na pia inapendeza zaidi ukiweka rangi moja, kuliko kuchanganya.
Ukichanganya changanya rangi inapendeza siku za mwanzo tu....baada ya wiki mbili hivi macho yanachoka kiziona hizo rangi....inatakiwa rangi moja simple nzuri.Hata mie naikubali saana. Na pia inapendeza zaidi ukiweka rangi moja, kuliko kuchanganya.
Hii ni kweli kabisa. Inapendeza kwenye display tu. Ni kama rangi nyeupe kwenye sitiUkichanganya changanya rangi inapendeza siku za mwanzo tu....baada ya wiki mbili hivi macho yanachoka kiziona hizo rangi....inatakiwa rangi moja simple nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap Naungana na ww Rangi inafaa kuwa mojaUkichanganya changanya rangi inapendeza siku za mwanzo tu....baada ya wiki mbili hivi macho yanachoka kiziona hizo rangi....inatakiwa rangi moja simple nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au wao ndio wa n'gamboHehehee! Huu ujuzi lazima wametoa ng'ambo aise. Wako vizuri.
Wako vizuri sana
Daah hapo wameharibu gari kabisaa imekua kama ya mtu wa Gamboshi aisee.Jamaa wapo vizuri sana
Nakuna Jamaa pia wanajiita Macauto pia wapo vizurView attachment 1061110View attachment 1061111View attachment 1061112View attachment 1061113View attachment 1061114
Kale ka Dutsun,hahah ka-pimp tu mzee baba.Kwa Arusha...kama kuna fundi anaweza kutengeza hii seat cover kama inavyoonekana hapa....ajitaje siku moja nimtembelee nikiridhika tufanye kazi...kale kagari nataka kuka-cutomise kuke ndani balaaView attachment 1061214
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa namkubali ana cumstomer care nzuri na anafanya follow up kama umependa huduma yake.Kiukweli anaongea vizuri sana na kukusikiliza sana na anatoa kitu cha ubora.Hii company ya mbongoView attachment 1061130
Kweli ile kazi sio tuliyozoea hapa kwetu.Au wao ndio wa n'gambo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kupimpu nakapimp...seat cover lazima.....Siyo datsun..ni nissan wewe
Sidhani kama wana website, mara nyingi nawaona wakijitangaza kwenye Instagram pekee.
Yes, kuna mdau RogieWanayo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Saana. Mzigo unatoka kivingine kabisa
at the time roofliner nilifanyiwa 130k roof ikarudi upya kama gari imetoka kwa jeps.... na dashboard kwa 90k milango kwa 50k ....I wish niwaone wakifanya hiyo kazi. I hope hawatapandisha bei au kushusha quality. Maana wateja wanazidi kuwa wengi.
Hiyo ni standard kwa kweli.at the time roofliner nilifanyiwa 130k roof ikarudi upya kama gari imetoka kwa jeps.... na dashboard kwa 90k milango kwa 50k ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ni wabunifu saana, sijui wamejifunza wapi hii kazi, maana kazi zao kwa kweli ni level nyingine.
Sio kazi tulizozoea kuziona kwa mafundi wetu wa mtaani.
Wanatengeneza seat covers, roofs, carpets, dashboard, steering cover etc kwa quality ya juu kiasi kwamba inaonekana vizuri kuliko hata interior ya baadhi ya luxury brands.
Safi saana. Soon tutaweza ku-pimp magari yetu ya kizamani tunayoyapenda na kuyapa muonekano wa kisasa.
Big up sana.